Mfumuko wa bei ni utekelezaji wa ilani ya CCM?

Tatizo simba na Yanga
 
Hili deni mmeanza kumtwisha Samia?
Aliekopa hela nyinyi kimyaa kimyaa hamumjui?Samia ndo kaleta deni la trilioni 71?...hamnaga aibu mkiamua kumchafua mtu?
Japo issue hapa ni kupanda kwa gharama za maisha na sio tu deni la taifa,
Ngoja nikusaidie kidogo.

Unajua ndani ya mwaka mmoja zimekopwa bei gani, na bei gni zaidi ya kilichopitishwa na bunge?
Imepitishwa 10tr
Imekopwa 15.9tr
Kilichozidi kinakwenda kwenye miradi ipi ambayo bunge halijaidhinisha kuikopea?
 

Why unakuwa taken na hoja dhaifu Kama hizi?
Kama mwaka mmoja tumekopa kwa Bunge kuidhibisha...
Je miaka mitano iliyopita kabla tulikuwa tunakopa Kwa idhini ya Nani?
Why Wale waliokuwa Wana support awamu iliyokopa bila kikomo Leo ndo wanakumbuka kuwa kuna Bunge ?
Double standards hizi tuzikubali Kwa nini?
 
Nchi hi tatizo sio mifumo, tatizo Ni uzwazwa wa baadhi ya watu wanaojifanya kujua na kuhamishia mashambulizi ya wahujumu uchumi kwenye social media

Suala la kupambana na rushwa na ubadhilifu wa mali za umma Ni jukumu la kila mtu kwa uwazi mkubwa. Km unaona una evidence za kutosha kwa wapigaji peleka kwenye vyombo vinavyohusika ili hyo mtu achukuliwe hatua. Kusema sema tu humu hakutasaidia kitu
 
Hamieni ambako Hakuna mfumuko wa Bei msituchoshe.
 
Grow up dude
Kwani miaka mitano iliyopita rais alitoka UKAWA?

Kuendelea kukopa na kuongeza deni la taifa lengo ni kumkomoa nani?

Tangu awamu hii iingie tumefanya exports za kiwango gani kinachoakisi uwezo wa kukopa zaidi?

Hayo matrillion yanayotajwa mbona tunaoneshwa miradi iliyofanywa na awamu zilizopita kana kwamba zimefanywa leo?

Mkuu uweke umakini kwenye kutafakari jambo maana una majibu mepesi kwa hoja nzito
 
Mimi na wewe tunajua kabisa mfumo uliopo hauruhusu kukosolewa na endapo utajitokeza wazi wazi jiandae kuishi kama shetani.

Mfumo unaolinda na kutetea wahalifu usiutegemee kusimama na wewe kwenye kuwashughulikia wezi na mafisadi.

Plea bargain kila mtu ameona ujambazi uliofanyika na wahusika wameongezewa vyeo.

Kesi ya Mbowe imetufungua macho kuhusu ukatili uliofanywa na mpaka leo Moses Linje hajulikani alipo. Lakini msimamizi wa operesheni hiyo amepandishwa cheo.

So to say
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…