Mfumuko wa bei wawafukuza wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, wasema wanapata hasara

Inflation rate sio Tanzania tu ni regional Kenya shilling iko vibaya zaidi na ya kwetu. Hapa tatizo ni la mda mrefu lilianzishwa na Magufuli kwa kuanzisha mega long term project amnazo zinachukua foreign exchange zetu hazina, JPM hakua na mpangilio ya mamba madhara take nado haya, kwa Kenya ni fifferent story wako kwenye political war.
 
Labda uko kariakoo ya Manzese
Nitajie hivyo vitu vilivyopanda bei, bei ya zamani na bei ya sasa, vitu vingi alivyotaja mleta mada actual vimeshuka bei, ni field yangu hio na na deal na kusupply maduka mengi. Ya mikoani. Kama hivyo vyandarua ndio vimeshuka bei vibaya mno.
 
Nani kama Mama!
Mama amefungua nchi!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchumi wa fremu!
 
Umesema tatizo ni regional halafu unasema tena tatizo ni Magufuli,mbona hautulii!?
 
Nitajie hivyo vitu vilivyopanda bei, bei ya zamani na bei ya sasa, vitu vingi alivyotaja mleta mada actual vimeshuka bei, ni field yangu hio na na deal na kusupply maduka mengi. Ya mikoani. Kama hivyo vyandarua ndio vimeshuka bei vibaya mno.
Wachina wanafungua viwanda jumatatu,sasa sikilizia maumivu ya bei za bidhaa zitazoanza kutengenezwa kesho,chandarua ni bidhaa ya msimu wa mvua,ambapo kuna mbu wengi.
 
Mama anaupiga mwingi sana watu wana hela na ghorofa zinavunjwa na kujengwa upya,watu wana hela sana.
 
Conversion rate for United States Dollar to Tanzanian Shilling United States Dollar to Tanzanian Shilling - Google Suche

Exchange rate haijafika huko 2,800 bali ni 2,570
 
Wachina wanafungua viwanda jumatatu,sasa sikilizia maumivu ya bei za bidhaa zitazoanza kutengenezwa kesho,chandarua ni bidhaa ya msimu wa mvua,ambapo kuna mbu wengi.
Kamba tu hizi, na unavyoshadadia wachina wakati asilimia kubwa ya wanaoleta vyandarua sio wachina inaonesha kabisa huna unalojua,
 
Wanahamia Ubungo
Wafanyabiashara wengi wa kariakoo wanahofia kuhamia ubungo.

Huo mradi ni kama bahati nasibu tu,

Mpaka kusimama na kushindana na kariakoo sio leo.

Itachukua miaka mingi sana.
 
Wewe nae kipindi cha magufur kipindi cha corona watu waliachia frem wengi...umekuja kariakoo juzi unajiitia unajua ...
 
Wewe nae kipindi cha magufur kipindi cha corona watu waliachia frem wengi...umekuja kariakoo juzi unajiitia unajua ...
Kabla ya Korona, tatizo mnajitoa ufahamu tu, humu humu JF kuna Topic kibao zinazungumzia hilo.

Corona Inaitwa Covid 19 na Tz imepiga sana 2020 , Magu YUPO madarakani toka 2015, kuanzia 2015 yenyewe biashara ilianza kudorora, around 2016 frame za kuchagua zikaanza na mimi nilipata wakati huo.
 
Wafanyabiashara wengi wa kariakoo wanahofia kuhamia ubungo.

Huo mradi ni kama bahati nasibu tu,

Mpaka kusimama na kushindana na kariakoo sio leo.

Itachukua miaka mingi sana.
Kwanza Kkoo wachina sio wakubwa kihivyo kama watu wabavyofikiri, kuna wachina kibao wanapiga winga, ila sababu watu wanakariri wanajua wana mizigo.
 
Hujui maana ya neno maradufu! Maradufu maana yake ni mara mbili ama kwa kiingereza ni neno sawa na twice.
Sasa Dola 1 kupanda kutoka 2180 hadi 2850 siyo maradufu hiyo!
Jifunzeni mambo! Shule za kata ni nzuri lakini pia zimeleta changamoto sana!
Tuna wasomi hafifu sana ( half cooked)!
 
Hapa umeongea forex tupu. Iyo changes in foreign exchange ndivyo trader anavyopata faida yake. Nashukuru. Aliyekuwa na dola milioni moja akizotoa akauza saivi atapata faida marudufu I think. Pia akaingia Kenya akanunua shilingi yao baadaye ikiwa stable akaiuza anapata faida Tena. Yaani unanunua ng'ombe,mpunga ama mahindi Ni wewe kucheza ni wapi Kuna faida saivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…