Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

Kwa Zanzibar hakuna tatizo maana pesa ipo mtaani
 
Mkate shilingi 250 mnalalamika?
Hao ndio binadamu. Mungu aliwapa Waisraeli chakula kinaitwa Mana bure, tena wakiwa jangwani wakalalamika, nini 250/=
Anyways, Wazanzibar lazima waelewe kuwa ingawa nchi yao ni kisiwa ila kwenye suala la athari za kiuchumi za kidunia wao sio kisiwa.
 
Kwani bia sh.ngapi huko?
 


Mbona hali hiyo ya kupaa kwa bei za bidhaa muhimu imeanzia huku bara.--- kimsingi ni nchi nzima.

1----Visiwani---Rais Hussein Mwinyi, mzanzibari.
2----Jamhuri ya Muungano----Rais Samia Suluhu, mzanzibari. Wazanzibar mnashida gani katika eneo hili??!!🀣
 
Mleta mada mfumuko wa bei kwa sehemu kubwa unachangiwa na chakula. Angalia season, bei ya viazi ikoje Iringa, Njombe, Mbeya nk, mafuta hatuzalishi tunatoa nje, je ktk world market ikoje, mchele huu ni msimu wa masika ni kilimo siyo mavuno, sukari angalia demand and supply.
Mimi ni mkulima mdogo wa matango pori niko Kimbiji. # Dk. Mwinyi tumpe moyo. Amefanya kazi kubwa mno.
 
Hata huku bara hali ni mbaya sana, yaani we Acha tu. Ila hatuna muhali. Mama kasema.
 
Na hivi mnalima vanilla tu ombeni sana muungano usife tutaeaizia nyama kilo moja 20,000 na hamna ujanja mkileta fyoko hatuwauzii tunapeleka comoro.

Halafu tunapunguza bei ya kitimoto πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…