Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

Hahahaha mimi mwenyewe niliwaza kama wewe. .... Pesa ina shikilia 65% ya furaha .hayo mengine ni kutiana moyo tu
 
Imagine
Unakuwaje na furaha familia imeshinda njaa unakuwaje na furaha unamadeni kila kona pesa ndio msingi wa furaha kama huna pesa huwezi kiwa na furaha that is fact
 
Sababu ya kuandika huu uzi ni kumsaidia mwanao asiwe kama wewe. Kudhani kuwa furaha inatokea wallet ikivimba.
Mambo ya mtoto aweje kila mzazi aachiwe hilo jukumu mambo ya kusema mfundishe mwanao hivi mmmmmmm.Mwache mchaga,mhindi na mwarabu Wawafundishe Watoto wao kuwa wallet ya muhimu tuendelee kuwa na matajiri wa kichaga ,kihindi na kiarabu.Na huyo wako unayemfundisha ulofa abaki na ulofa wake wa kuona wallet haina maana.Ushauri wako Kama huu ndio una zalisha maskini.Kama Ni kweli unashauri mwanao hivi unamuandaa kuwa maskini ila Kama Ni wa kiume kivumbi atakiona akioa .Kama anafikiri furaha hailetwi na wallet mkewe atamkomesha Hadi ashike adabu yake
 
Mimi nitamfundisha vyote. ....

Ila mkuu ni bora kulia ukiwa ndani ya benzi ..kuliko kulia ukiwa barabarani huku una Tembea kwa miguu ni fedheha
Hahahaha,mkuu ulishawah kulia ndani ya benz ukaona utafauti wake?
 
Kwanini useme Pesa na Furaha, nawakati Pesa ndio Furaha yenyewe.

mfano uwoni watu wakishinda BIKO wanaruka kwenye screen nawanasema watatua shida hii na hii, ujawai una kijana kampiga muhindi anagurahi, umewai ona vijana club wanapari, umewai kuona watu wakipokea mishahara, je unajua wanafunzi wa chuo Boom likitema unasikia wayowe chuo kizima.....

Mfano wapili, unajua vijana ambao hawana ajira walivyokuwa hawana furaha, unajua Boom chuo linapokata stress tupu kwa wanafunzi, umesoma uzi akiyenusulika kuchomwa moto kisa hali ngumu, unawajua watu....

Inabidi uwelewe pesa ndio furaha yenyewe hapa duniani nakuapia upate ukame wa pesa siku tatu tu usiwe hata na pesa ya kula utajua furaha upuuzi, pesa ikatike mwenye nyumba akufukuze utajua iyo furaha upuuzi, Mtoto..mzazi waumwe account iwe na zero utajua furaha upuuzi....hivi una pretend vipi una furaha na huna kitu aya basi wewe unafurahi huna kitu je mwanao anafurahi kwenda shule na kandambili, sawa una furaha je mkeo ana furaha kula visamvu kilasiku.


Uwezi kuwa timamu kumfundisha mtoto kuwa na furaha unamfundisha kitu kisichohitaji effort yoyote kuwa nacho nakisichoeleweka happy Born with unanifundisha vipi, furaha kilamtu anayo is free for everyone how come you lecturing me to be happy, you have PhD of happy....mfundishe mtoto kutafuta utajiri vile utavyoweza na umsapoti sana furaha itakufuata nyuma tusipende misemo ya kimaskini maskini bana....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Mimi naamini hivyo ndio maana watu wanakesha na kutumia nguvu zote Hadi pesa ipatikane.
Angalia watu Kama akina Nape,Lipumba, Palamagamba wanavyokubali kudhalilika yote ni kwa ajili ya pesa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua kunawatu wanachukulia poa, yaani nipo sina nguo mpya miezi, vitu ninavyovipenda navishudia tu then unaniambia furaha furaha ulienda bank kuomba mkopo ukaambiwa leta furaha ndio dhamana.
 
Hata Mimi niliwaza Kama wewe,hadi nikasema au kapewa hela za majini na mizimu nn
 
Ni kweli bila competition na comparison huwezi kuwa the best.
Hiyo mioyo ya kuridhika wanayo wazaramo na watu wa pwani angalia miji yao na maendeleo ilivyo ya ajabu.
 
Mkuu huyo Mmiliki wa kampuni ya TATA,Dangote na Mo wote utajiri wao ni wa kifamilia zaidi yaani kuendeleza utajiri wa mababu zao na sio juhudi binafs toka mwanzo.
 
Yaani watu tuna amka asubuhi na mapema wengine hatulali. .mbio mbio tuna itafuta pesa. .then bado Kuna watu wanasema pesa haileti furaha. ..!!!!?

Mtoa mada jaribu kurejea nyumbani kwako ukiwa mikono mitupu na familia yako haina mahitaji kama chakula. .ndio Utaelewa kwanini pesa inabeba furaha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Mimi naamini hivyo ndio maana watu wanakesha na kutumia nguvu zote Hadi pesa ipatikane.
Angalia watu Kama akina Nape,Lipumba, Palamagamba wanavyokubali kudhalilika yote ni kwa ajili ya pesa.
 
Hahhahahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua kunawatu wanachukulia poa, yaani nipo sina nguo mpya miezi, vitu ninavyovipenda navishudia tu then unaniambia furaha furaha ulienda bank kuomba mkopo ukaambiwa leta furaha ndio dhamana.
 
Mkuu nilichokielewa hapa wachangiaji wengi sana hawajaelewa umemaanisha kitu gani.
 
[
Mkuu huyo Mmiliki wa kampuni ya TATA,Dangote na Mo wote utajiri wao ni wa kifamilia zaidi yaani kuendeleza utajiri wa mababu zao na sio juhudi binafs toka mwanzo.
Hazikuwa kwenye level walikozifikisha .Kwa Dangote ni uongo Dangote alipewa hela ndogo tu na mjomba wake aanze biashara hakurithi biashara yeyote.TATA pia familia yake walikuwa wakulima.Lakini all in all tuseme walirithi Kama hawakufunzwa kuwa best hizo kampuni zisingekuwa happy zilipoanza.Tanzania tumeona kampuni kubwa za mabasi zimekufa sababu wenye kampuni baada ya kuzeeka au kufa mitoto haikufinzwa kuwa best zimekufa
 
Pesa imeshikiria 70℅ ya furaha zetu.
Unakuaje na furaha huku huna pesa maisha yako ya kuunga unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…