Happiness is a state of mind and it is within a person, kila mtu kazaliwa na furaha ndani yake ndio maana hata mtoto mchanga anauwezo wa kufurahi japo hana uelewa wa kinachoendelea..
Huwezi fundisha mtu namna ya kufurahi, Ili furaha ya mtu ijionyeshe Kuna mambo mengi yanayo trigger furaha iliyo ndani yake, The level of ecxitement caused by these triggers is different among people depending on the differences in hormonal activities.
Point yangu ni kwamba happiness is hormonal controlled hivyo huwezi fundisha mtu namna ya kuhisi furaha, ts like teaching some1 how to feel pain[emoji1][emoji1].
- ON THE OTHER HAND haijalishi unafurahi au hufurahi u need money for ur survival, an to be able to survive is one of the triggers of happiness.
Enzi za kale mababu zetu walifundisha watoto wao how to survive kwa kuwinda, kupambana na adui n.k, kwa hiyo leo unatakiwa umfundishe mtoto wako namna ya kupiga pesa kama njia pekee ya kusurvive katika dunia hii ya kibepari.
Kwa kusema hivyo napingana vikali na mtoa mada, kuna vitu huwezi kuvilinganisha na vikalinganishika.