Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

nimeelewa sana mkuu
 
Matajiri wenzako ndio watakubaliana na wewe, ila sisi maskini hili somo hatuwezi kulielewa..
Money sickness syndromes
 
Haijawahi tokea nikakoswa flaha nikiwa na pesa. Na haijawahi tokea nikawa na fulaha huku nikiwa sina hata buku
 
Au hakuona kwa mzee mengi na miaka karibu 70 kachukua mtoto mbichi.
Sasa ngoja wewe uzeeke huna pesa halaf ukaombe kumuoa mtoto wa miaka 30 Kama jamii yote hawatokushangaa na kukuona umechanganyikiwa au mchawi.
 
Furaha ni muhimu kuliko pesa, ila pesa inakamilisha furaha inayotakiwa
 
Ukimpa mtoto Kazi ya kutafuta passion Yake be very careful hata akikuambia hi ndio passion yangu Ni vizuri kuuliza why na umeipataje. Mfano mtoto unakuta anapenda Sana miziki na anakwambia passion Yake Ni kuwa musician .Ukimuuliza passion yako umepataje anakwambia nilimwangalia Diamond alivyo na mashabiki wengi na pesa passion yangu nataka kuwa Kama diamond.Yes ana passion ya kuwa Kama diamond njia za kumwandaa awe Kama diamond wewe mzazi unazijua? Na utazimudu? Issue Sio tu mtoto kuwa na passion mtu wa kwanza ku guide passion ya mtoto Ni mzazi Sio video za kucheza uchi za diamond
 
Nadhani conclusion yangu ndivyo inavyosema.
 
Happiness is a state of mind and it is within a person, kila mtu kazaliwa na furaha ndani yake ndio maana hata mtoto mchanga anauwezo wa kufurahi japo hana uelewa wa kinachoendelea..

Huwezi fundisha mtu namna ya kufurahi, Ili furaha ya mtu ijionyeshe Kuna mambo mengi yanayo trigger furaha iliyo ndani yake, The level of ecxitement caused by these triggers is different among people depending on the differences in hormonal activities.

Point yangu ni kwamba happiness is hormonal controlled hivyo huwezi fundisha mtu namna ya kuhisi furaha, ts like teaching some1 how to feel pain[emoji1][emoji1].

- ON THE OTHER HAND haijalishi unafurahi au hufurahi u need money for ur survival, an to be able to survive is one of the triggers of happiness.

Enzi za kale mababu zetu walifundisha watoto wao how to survive kwa kuwinda, kupambana na adui n.k, kwa hiyo leo unatakiwa umfundishe mtoto wako namna ya kupiga pesa kama njia pekee ya kusurvive katika dunia hii ya kibepari.

Kwa kusema hivyo napingana vikali na mtoa mada, kuna vitu huwezi kuvilinganisha na vikalinganishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…