Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni mgeni huyo anatokea nchi ya zanzibarFei ni mgeni?
Kama kweli wewe ni Yanga basi big respect kwako mkuu maana Kuna watu wa Yanga hawataki Fei awe mfungaji Bora ila wewe umekuwa honestlyTunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa haijalishi mkataba umesainiwa lini.
Ngozi nyeusi kuna namna inashida hasa watizedi, hatuna hulka ya kuthamini vya kwetu , ndio utakuta Aziz Ki alikuwa anakula 20M huku Fei Mil 4 , stupide kabisa. Fei made great decision in his career path and in searching of his identity!
Ufungaji bora uende kwa Fei Toto ikiwa njia moja Wapo ku promote vipaji vya ndani na kupaisha majina ya wachezaji wa ndani.
Mali yoyote atakayochuma Fei itabaki Tanzania na mali ya mgeni atapeleka kwao , hii ndio sera ya Uk na Arabs kwenye favoritism ya mzawa.
Fei apongezwe pamoja na kukaa nje muda mrefu but jamaa anajua game . SSC mali hiyo , kama mtaendelea kukimbizana na Chama mchezaji ambae hauziki tena nje ya Tanzania shauri yenu.
Dau la Fei toto limepanda kuliko angeendelea kupakwa shombo la Jangwani. Guys this is big lesson in life , hata kwenye maisha ya kawaida, HESHIMU maamuzi yako unayoyaamin at any COST, kuna thin line kati ya MAFANIKIO na MAAMUZI yenye Confidence .
Kama Fei angesalia Yanga , possibly hata dau lake la kumuuza lingekuwa la Kawaida.
Napenda snaa kuona vijana wa TZ wakionesha ushindani kwa wageni wanaolipwa millions of TZS na wakati mwingine hawana deliverable z maana. Mfano Mikison anakula more than 20M , for what ? Stupide kabisa!
SAFI SANA FEI, Mimi ni Yanga but utaifa kwanza na umetupa Heshima wa TZ. All the best Feisal Salum kwenye career path yako ya professional football !
Sheria hasemi hivyo mkuu mbona huyo Aziza mdomo kafunga magoli baada ya wapinzani wenu kupewa cadi nyekunduHuyu anapewa kivipi wakati goli zake tatu kafunga kwenye timu yenye wachezaji 7
HahaaaaaNdio ni mgeni huyo anatokea nchi ya zanzibar
Vipi, bado umesimama kwenye huu msimamo wako?Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa haijalishi mkataba umesainiwa lini.
Ngozi nyeusi kuna namna inashida hasa watizedi, hatuna hulka ya kuthamini vya kwetu , ndio utakuta Aziz Ki alikuwa anakula 20M huku Fei Mil 4 , stupide kabisa. Fei made great decision in his career path and in searching of his identity!
Ufungaji bora uende kwa Fei Toto ikiwa njia moja Wapo ku promote vipaji vya ndani na kupaisha majina ya wachezaji wa ndani.
Mali yoyote atakayochuma Fei itabaki Tanzania na mali ya mgeni atapeleka kwao , hii ndio sera ya Uk na Arabs kwenye favoritism ya mzawa.
Fei apongezwe pamoja na kukaa nje muda mrefu but jamaa anajua game . SSC mali hiyo , kama mtaendelea kukimbizana na Chama mchezaji ambae hauziki tena nje ya Tanzania shauri yenu.
Dau la Fei toto limepanda kuliko angeendelea kupakwa shombo la Jangwani. Guys this is big lesson in life , hata kwenye maisha ya kawaida, HESHIMU maamuzi yako unayoyaamin at any COST, kuna thin line kati ya MAFANIKIO na MAAMUZI yenye Confidence .
Kama Fei angesalia Yanga , possibly hata dau lake la kumuuza lingekuwa la Kawaida.
Napenda snaa kuona vijana wa TZ wakionesha ushindani kwa wageni wanaolipwa millions of TZS na wakati mwingine hawana deliverable z maana. Mfano Mikison anakula more than 20M , for what ? Stupide kabisa!
SAFI SANA FEI, Mimi ni Yanga but utaifa kwanza na umetupa Heshima wa TZ. All the best Feisal Salum kwenye career path yako ya professional football !
Haya kampe lakuchumpaTunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.

Umetumia gobole kua sisimizi mzee 😅Kumbe kina Ronaldo, Mane, Neymar Jr ni warabu hee? Maana hao ndo highest paid footballers huko uarabuni.
Football is all about fair play, huu unaouleta hapa ni ubaguzi na haufai michezoni, mshindi apatikane kwa uwezo wake na sio kwa utaifa wake..
Hopeless kabisaa wewe[emoji706]
Watu kama nyie ndio wale waliobakia wenye akili na tabia za awamu ya jiwe ya kubadilisha kile kilichotungwa na kukubalika!Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa haijalishi mkataba umesainiwa lini.
Ngozi nyeusi kuna namna inashida hasa watizedi, hatuna hulka ya kuthamini vya kwetu , ndio utakuta Aziz Ki alikuwa anakula 20M huku Fei Mil 4 , stupide kabisa. Fei made great decision in his career path and in searching of his identity!
Ufungaji bora uende kwa Fei Toto ikiwa njia moja Wapo ku promote vipaji vya ndani na kupaisha majina ya wachezaji wa ndani.
Mali yoyote atakayochuma Fei itabaki Tanzania na mali ya mgeni atapeleka kwao , hii ndio sera ya Uk na Arabs kwenye favoritism ya mzawa.
Fei apongezwe pamoja na kukaa nje muda mrefu but jamaa anajua game . SSC mali hiyo , kama mtaendelea kukimbizana na Chama mchezaji ambae hauziki tena nje ya Tanzania shauri yenu.
Dau la Fei toto limepanda kuliko angeendelea kupakwa shombo la Jangwani. Guys this is big lesson in life , hata kwenye maisha ya kawaida, HESHIMU maamuzi yako unayoyaamin at any COST, kuna thin line kati ya MAFANIKIO na MAAMUZI yenye Confidence .
Kama Fei angesalia Yanga , possibly hata dau lake la kumuuza lingekuwa la Kawaida.
Napenda snaa kuona vijana wa TZ wakionesha ushindani kwa wageni wanaolipwa millions of TZS na wakati mwingine hawana deliverable z maana. Mfano Mikison anakula more than 20M , for what ? Stupide kabisa!
SAFI SANA FEI, Mimi ni Yanga but utaifa kwanza na umetupa Heshima wa TZ. All the best Feisal Salum kwenye career path yako ya professional football !
Hii inahusiana vipi na maada? huna hoja?Aziza Key domo kubwaa