Mfungaji Bora Apewe Fei Toto Salumu( FTS)

Kumbe ni kupewa tu?Basi apewe JOBE yule ni mtu hatari sana.
 
Kama kweli wewe ni Yanga basi big respect kwako mkuu maana Kuna watu wa Yanga hawataki Fei awe mfungaji Bora ila wewe umekuwa honestly
 
Huyu anapewa kivipi wakati goli zake tatu kafunga kwenye timu yenye wachezaji 7
Sheria hasemi hivyo mkuu mbona huyo Aziza mdomo kafunga magoli baada ya wapinzani wenu kupewa cadi nyekundu
 
Usikosoe uumbaji wa Mungu, unaweza kuta wewe mwenyewe sura ya baba yako mkubwa, nyonyo kubwa kama tikiti na makalio flat screen.
 
Yani apewe tu bila hata kumzidi mwenzake magoli?

Daahh sisiemu mmetuharibia Nchi kabisa. pambafu!!!!
 
Nenda kampe huyo jinga FEI Toto!

Hattrick anapata kwenye timu yenye wachezaji 8 uwanjani alafu ndio awe mchezaji bora.

NI UJINGA MKUBWA.
 
Vipi, bado umesimama kwenye huu msimamo wako?
 
Haya kampe lakuchumpa
 
Umetumia gobole kua sisimizi mzee 😅
 
Watu kama nyie ndio wale waliobakia wenye akili na tabia za awamu ya jiwe ya kubadilisha kile kilichotungwa na kukubalika!

Hata aibu huna!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…