Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mfubgaji bora na mayai yake.jpg

Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.

Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
 
Akale hayo mayai anenepe mwishowe asicheze mpira kabisa.

Jamaa wanatoa zawadi za kuua vipaji, baada ya miaka kadhaa hiyo ligi yao itajaa wachezaji wenye vitambi..
 
KENNEDY MUSONDA WINS FIVE TRAYS OF EGGS
Musonda recently made the switch from Zambian side Power Dynamos to Young Africans SC. After a man of the match display for his new club, footage has emerged of Musonda receiving his prize. Two of the trays were awarded for a goal scored in a recent match, and the other three were allocated because of his overall display
 
Ni kama mayele kukabidhiwa ng’ombe

Hii story ina hitaji taarifa kamilifu, huyu ni shabiki tu aliyempa musonda zawadi... labda kama kutakuwa na taarifa toshelevu
 
View attachment 2486923
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.

Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
Kazawadiwa na nani? Chama cha mpira au shabiki tu?.. maana katika kufatilia soka sijawahi kuisikia hii tuzo ya mfungaji bora wa mwezi
 
Kwani anayeshinda akapewa Kombe au akifunga Hat Trick akapewa aende na mpira nyumbani au kutokupewa zawadi yoyote inakuwaje ? Au unadhani ile Golden Boot kwenye World Cup kweli ni Gold ?

Haya mambo yote ni symbolic hawafanyi / hawachezi sababu ya kupewa zawadi, hata ingekuwa bure watu badu wangecheza mpira ndio maana kitaa Kombe la mbuzi watu wanaweza kulikamia kuliko hata mechi ya ligi kuu
 
Kwani anayeshinda akapewa Kombe au akifunga Hat Trick akapewa aende na mpira nyumbani au kutokupewa zawadi yoyote inakuwaje ?

Haya mambo yote ni symbolic hawafanyi / hawachezi sababu ya kupewa zawadi, hata ingekuwa bure watu badu wangecheza mpira ndio maana kitaa Kombe la mbuzi watu wanaweza kulikamia kuliko hata mechi ya ligi kuu
Ni kweli mkuu nakumbuka enzi primary tulikua timu pinzani na mtaa wa pili kila jpl tunawekeana dau elfu 10 kila timu tunapiga ataeshinda achukua elfu 20 yote ikaja siku timu zote hatuna hela kila upande ukasema hautaki hela shida yao ni ushindi tu game ikipigwa bila dau siku iyo na bado moto uliwaka kuna waliondoka na majeruhi kama siku zote si unajua game za kitaa hakuna kadi hakuna refa mpaka giza liingie ndo mechi inaisha
 
Back
Top Bottom