Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Naam Ushindi ni Priceless na sio kile mnachoshinda ndio maana unaweza ukakuta hapo wapo wanaingia mifukoni ili hata kuazima wachezaji wa mitaa jirani (yaani sio kupata wanapoteza pesa) ila wanchopata ushindi mpaka leo mnapeana hadithi jinsi mlivyowacharaza timu ya mtaa (hata kama lilikuwa kombe la mbuzi)Ni kweli mkuu nakumbuka enzi primary tulikua timu pinzani na mtaa wa pili kila jpl tunawekeana dau elfu 10 kila timu tunapiga ataeshinda achukua elfu 20 yote ikaja siku timu zote hatuna hela kila upande ukasema hautaki hela shida yao ni ushindi tu game ikipigwa bila dau siku iyo na bado moto uliwaka kuna waliondoka na majeruhi kama siku zote si unajua game za kitaa hakuna kadi hakuna refa mpaka giza liingie ndo mechi inaisha