Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ligi masikini Kwa nchi masikiniView attachment 2486923
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.
Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
Naomba ufafanuzi kisa cha Mussa na Firauni kwanza.. Ilikuwaje mpaka ukaja msemo huu?View attachment 2486923
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.
Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
Kinapatikana kwenye BibliaNaomba ufafanuzi kisa cha Mussa na Firauni kwanza.. Ilikuwaje mpaka ukaja msemo huu?
Inasikitisha sana aiseeLigi masikini Kwa nchi masikini
Musa alikuwa anafanya maajabu kwa nguvu za Mungu akiamini Farao atawaachia Wayahudi kirahisi akakuta Farao naye anapiga miujiza ileile kwa nguvu za wachawi wakeNaomba ufafanuzi kisa cha Mussa na Firauni kwanza.. Ilikuwaje mpaka ukaja msemo huu?
Dah tumemsajili ghali kweli, bakini na magarasa yenu ya mazembe.kwa ligi hii si anaweza kusajiliwa hata kwa alfu tano kisha tukaongeza sufuri kuwatisha mashabiki.Joking
Ha ha hahIwe 50,000/- mashabiki watatishika sana
Kazawadiwa na nani? Chama cha mpira au shabiki tu?.. maana katika kufatilia soka sijawahi kuisikia hii tuzo ya mfungaji bora wa mweziView attachment 2486923
Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi.
Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
Ni kweli mkuu nakumbuka enzi primary tulikua timu pinzani na mtaa wa pili kila jpl tunawekeana dau elfu 10 kila timu tunapiga ataeshinda achukua elfu 20 yote ikaja siku timu zote hatuna hela kila upande ukasema hautaki hela shida yao ni ushindi tu game ikipigwa bila dau siku iyo na bado moto uliwaka kuna waliondoka na majeruhi kama siku zote si unajua game za kitaa hakuna kadi hakuna refa mpaka giza liingie ndo mechi inaishaKwani anayeshinda akapewa Kombe au akifunga Hat Trick akapewa aende na mpira nyumbani au kutokupewa zawadi yoyote inakuwaje ?
Haya mambo yote ni symbolic hawafanyi / hawachezi sababu ya kupewa zawadi, hata ingekuwa bure watu badu wangecheza mpira ndio maana kitaa Kombe la mbuzi watu wanaweza kulikamia kuliko hata mechi ya ligi kuu