Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

Naam Ushindi ni Priceless na sio kile mnachoshinda ndio maana unaweza ukakuta hapo wapo wanaingia mifukoni ili hata kuazima wachezaji wa mitaa jirani (yaani sio kupata wanapoteza pesa) ila wanchopata ushindi mpaka leo mnapeana hadithi jinsi mlivyowacharaza timu ya mtaa (hata kama lilikuwa kombe la mbuzi)
 
Kwenda Yanga kapewa tenga zima la mayai...
 
Uongo. Hizo tray alizawadiwa na shabiki wa timu yake baada ya kufanya vizuri kwenye mechi waliyocheza na hao jamaa wa timu pinzani alipiga goli 2 kwenye hiyo mechi.
 
Hiyo inaweza kuwa ni sehemu tu ya zawadi kama yule wa Yanga aliyepewa ng'ombe.
 
Dah tumemsajili ghali kweli, bakini na magarasa yenu ya mazembe.kwa ligi hii si anaweza kusajiliwa hata kwa alfu tano kisha tukaongeza sufuri kuwatisha mashabiki.Joking
Hiyo si ndo ligi ya kina Phiri na Chama lakin au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…