Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Mda unavyozidi kwenda kutakuwa sio siri tena.
Alivyokuwa anapokea kijiti tulijua neema ila kwa miaka 4 yake tushafikisha deni la trion 107,ufisadi wa kutisha,mauwaji yasiyo na ukoma na mambo ya ajabu.
uchaguzi wa asilimia 98 ambao hata kama unapendwa.
Cheo alichonacho kimemzidi akili na sasa msipotumia kamba kumfunga basi tumieni sheikh kuyatuliza majini yake.