Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.

Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?

Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.
 
Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
 
Hivi katiba ya Simba inazuia kumsema mwekezaji? Huyu ni Mtukufu hasemwi au siyo?
 
Unaposema hivi maana yake waliomchagua watakuwa ni hopeless+ bila shaka.
Hilo ndio jibu, halafu Kaduguda alikuwa sehemu ya uongozi wa Simba Nini kilimzuia kusema hayo anayoyasema Sasa.
Anatafuta namna nyingine ya kurudi Simba baada ya njaa kumzidi.
 
Sijawahi kumkubali Mangungu wala Salim ila huyo Mohamed naye anajikutaga kama msemaji wa timu, alitakiwa afungiwe siku nyingi sana au apewe onyo kuiongelea klabu kama vile ni msemaji wake.

Nasimama na kauli yangu ya muda mrefu kuwa itachukua muda mrefu sana Simba kuja kutulia tena na nina sababu zangu za msingi kusema hivyo.
 
Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
CPA feki na ya mchongo.
 
Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
Watu wanahangaika sana kuzipata hizo title lakini wengine mtaani wanajiita2
 
Alichose ni kwamba hajawahi ongoza Timu hata level ya kata.
 
Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
Hata sa100 ni Dr ... Acha kukalili sio kila CPA au Dr Ina maana sanaaaa... Msukuma mwenyewe hapo alipo ni Dr asee😅😅😜
 
Back
Top Bottom