Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.
Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?
Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.
Hivi katiba ya Simba inazuia kumsema mwekezaji? Huyu ni Mtukufu hasemwi au siyo?Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.
Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?
Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.
Unaposema hivi maana yake waliomchagua watakuwa ni hopeless+ bila shaka.Mangungu ni hopeless. Ningekuwa Mo nisingekuwa tayari kufanya kazi na mtu asiye na vision
Aaaah CPA UCHWARA SUNZU BOBAN.Mangungu ni hopeless. Ningekuwa Mo nisingekuwa tayari kufanya kazi na mtu asiye na vision
Hilo ndio jibu, halafu Kaduguda alikuwa sehemu ya uongozi wa Simba Nini kilimzuia kusema hayo anayoyasema Sasa.Unaposema hivi maana yake waliomchagua watakuwa ni hopeless+ bila shaka.
Halafu anamsema hivyo ni kiongozi wake wa timu anayoipendaUnaposema hivi maana yake waliomchagua watakuwa ni hopeless+ bila shaka.
Bahati nzuri huwa sipigi kura za kuchagua viongozi, kelele zangu mwisho hapa jukwaani.Unaposema hivi maana yake waliomchagua watakuwa ni hopeless+ bila shaka.
CPA feki na ya mchongo.Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
Watu wanahangaika sana kuzipata hizo title lakini wengine mtaani wanajiita2Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.
Unakuta wewe hata form 6 hujafika, ila uko proud kabisa kukosoa professional ya mtu.CPA feki na ya mchongo.
[emoji706][emoji706]Unakuta wewe hata form 6 hujafika, ila uko proud kabisa kukosoa professional ya mtu.
Kwa uandishi huu, haujafahamu bado kosa lililofanya hao wawili wafungiweMbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?
Hata sa100 ni Dr ... Acha kukalili sio kila CPA au Dr Ina maana sanaaaa... Msukuma mwenyewe hapo alipo ni Dr asee😅😅😜Futa neno CPA wa mchongo,hakuna eng,cpa,dr wa mchongo heshimu shule kama wewe unafikiri ni rahisi kasome ,ushabiki usiingizwe kwenye professionals.