Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

Mangungu ni hopeless. Ningekuwa Mo nisingekuwa tayari kufanya kazi na mtu asiye na vision
Hopeless ni wewe uliyemchagua .... Kama umeshindwa kufanya mahesabu ya 400m za Azizi ki, unatoa wapi uhalali wakumtukana Mangungu ambaye by professional ni Engineer!!. Pumbavu zako mhasibu uchawarwa... Bata waheed..... Mangungu ndio Simba na Simba ndio Mangungu 😅
 
Mimi asikna iliacha hoi pale ilipienda kushiriki michuano ambayo ilianzia hatua ya penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…