Mfungo mgumu sana

Mfungo mgumu sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi

Leo mchna nikiwa nimetulia kaja Jamaa mmoja hivi mpemba tunapiga story najua anafunga gafla anaomba nynya na kitunguu na chumvi akidai njaa nikampa baada ya muda nasikia anaomba mboga tukamuuliza ujafunga kwahiyo

Alichojibu tulibaki mdomo wazi et hawezi mkewe anajua anafunga na katupa biti olewenu mnitangaze kuwa sifungi nilicheka sana mpka sasa

Mam huwezi kufunga kula kwa uwazi tu si kujificha utudanganyi sis
 
Back
Top Bottom