Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
"Wall and underground concealed conduit wiring"

Habari wakuu,
Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta.

Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu.








Mara nyingi upitishaji wa bomba(conduit) za kupitisha waya huwekwa kabla ya kupiga floor na plasta ya ukuta,vivo hivyo hata kama utatumia "armoured cable"



Mfumo huu unapunguza idadi ya waya zinazopita juu ya paa lako(darini),hivyo kupunguza asilimia za matatizo yanayopelekea moto kutokea sababu katika dari kuna material ambayo ni rahisi kukuza moto ukitokea,tofauti katika ardhi na ukuta.

FAIDA ZA MFUMO HUU

1.Zinapunguza uwezekano wa moto kutokea katika jengo kwasababu kama tatizo la umeme likitokea na waya zikaungua basi moto utakutana na mazingira ambayo hayaruhusu moto kusambaa (ukuta au ardhi)
3.Ni salama kulinganisha na mifumo mingine si rahisi kwa waya kuliwa na wanyama au wadudu.

HASARA

1.Ni gharama sababu unatumia bomba nyingi zaidi.
2.Unahitaji mtaalamu wa umeme ambaye mzoefu.
3.Ni mfumo usioruhusu maboresho(updates),kirahisi
4.Ni ngumu katika kufatilia tatizo la umeme likitokea.
5.Lazima atakaye funga umeme aache ramani ya msambao wa waya katika jengo.
 

Attachments

  • montazh_provodki_po_polu-2.jpg
    56.5 KB · Views: 31
Teknolojia imekua[emoji1545]
 
Teknolojia imekua[emoji1545]
 
Mfumo mzuri ila haufai kwa watu wenye kipato cha chini, kawaida na wastaafu, hiyo tech inafaa mwenye nyumba akiwa na shs, sababu ya garama na maintenance.

Baya zaidi haifai kwenye maeneo yetu yale pendwa ya kipindi cha "kiangazi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…