Maisha ya askari ''Mimi kinachonisikitisha zaidi ni jinsi baadhi ya watu wanavyohatarisha usalama kwa kuwaachia huru wahalifu sugu na hatari kama huyo. Wakati sisi polisi hatulali na tunauza roho zetu kupambana na uhalifu hasa wa kutumia silaha nzito kama hizo, baadhi ya watu wanakwamisha jitihada zetu kwa kuwaachia huru wahalifu hao katika mazingira ya kutatanisha. "Lakini hili la safari hii hatutalifumbia macho mpaka wale wote walioshirikiana naye wabainike na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria, mimi nimekula kiapo sintakubali kurudi nyuma.'' alionya.
Rejea hayo maandishi mekundu.
Nikisema kwamba wao ndio wanashirikiana nao, ila kwakua imegundilika ndo maana wanajidai kula kiapo kwamba hawatakubali kurudi nyuma, NITAKUA NASEMA UWONGO???
Rejea hayo maandishi mekundu.
Nikisema kwamba wao ndio wanashirikiana nao, ila kwakua imegundilika ndo maana wanajidai kula kiapo kwamba hawatakubali kurudi nyuma, NITAKUA NASEMA UWONGO???