Wakuu kwa mfano mfungwa ambaye anatumikia adhabu alafu akapata taarifa kuwa kiwanja chake alichokiacha mtaani kimechukuliwa na mtu, je anahaki ya kwenda kufungua kesi mahakamani?
Anapaswa kufuata taratibu gani?.
Nimechukulia mfano wa kiwanja ila mfano wowote ambao inaonekana haki yake inapokwaa, je anauwezo wa kufungua kesi?