Mfungwa anahaki ya kufungua kesi mahakamani kumshitaki mtu?

Mfungwa anahaki ya kufungua kesi mahakamani kumshitaki mtu?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Wakuu kwa mfano mfungwa ambaye anatumikia adhabu alafu akapata taarifa kuwa kiwanja chake alichokiacha mtaani kimechukuliwa na mtu, je anahaki ya kwenda kufungua kesi mahakamani?
Anapaswa kufuata taratibu gani?.

Nimechukulia mfano wa kiwanja ila mfano wowote ambao inaonekana haki yake inapokwaa, je anauwezo wa kufungua kesi?
 
Ana haki sawa na binadamu wengne, Hivyo anaweza kumpa nguvu ya kisheria mtu mwingine wa karibu kusimamia kesi hiyo
 
Back
Top Bottom