Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

General rule states that circumstencial evidence must be corraborated

Hamis Shedafa vs R
"Among other things when there exist circumstencial evidence must be corraborated"

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii comments Ina tofauti gani na nilichoandika hapo juu? Ushahidi wa kimazingira pekee haitoshi kumtia mtu hatiani.
 
Jamaa alitoroka shulen kwao akamfata Demu wake kwenye hicho chuo likapigwa tukio na yeye akashikwa kwnye eneo la tukio wakamuunganisha kwenye hiyo kes hakua gaid chalii hajui hata kupakia risas kwenye magazine
Demu wake mbona hakujitokeza kumtetea.
 
Wanaolazimishwa kujitoa mhanga ni wachache sana, wengi wanajitoa wenyewe wakiassociate kitendo hicho na suala la kiimani

Watapata thawabu kwa kuifia dini ya haki, dini ya Allah (S.A.W)
 
Sio 9 nawewe ni 72
 
Tena ilitakiwa akaangwe mzima mzima babake ili iwe fundisho wanakera sana hawa jamaa bado na machungu na ndugu zetu wa mtwara
 
Amefanya haraka tu kujimaliza kwasababu kifungo cha maisha huwa kinaishaga! Mfano cha akina babuseya, nelson Mandela, nk, nk
 
Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
We jamaa tunashindwa hata kukuelewa...kijana alifikaje Garisa bila mchongo wowote ule !?? isitoshe Tz alitoweka kwa kipindi kirefu tu na hakuna mtu aliyejua yupo wapi leo hii unataka ushahidi gani!!!..Nyie ndio mnawafanya hawa watu(magaidi) waendelee kuona kumbe kuna watu wanawaunga mkono .Sitoshangaa kuona unafurahia yalitokea Nigeria

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
Ndio hivyo ameshajinyonga zake kama unasikia uchungu mfuate

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nimeisikiliza BBC baada ya taarifa ya habari ya Star TV kwamba marehemu alikata rufaa na kesi ilikuwa inasikilizwa sasa iweje ajiue? Gereza alilofungwa na serikali ya Kenya wanajua walichokifanya Kwa huyu kijana, hakujiua kabla hajakata rufaa leo ajiue rufaa inasikilizwa?
 
Walichoongea BBC usiku huu naungana na wewe kabisa, wengine wamefungwa miaka arubaini (40) yeye kafungwa maisha, rufaa inasikilizwa ati kajiua, hapo mkuu, dhana yangu ni kwamba gereza wanajua kilichomuua si kwamba kajiua
 
Kwanini ajinyonge Alitakiwa Anyongwe
Jamaa anaonekana katili sana hata kwa Sura yake.
 
Najivunia Yesu Ndiye Mwenye Uwezo

Naona fahari Kuwa Mkiristo

Aksante Mungu
Korani 2:216
"216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachosha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui."

Mathayo 11:28-30

"Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu. Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”



Sent using Jamii Forums mobile app
 
figganigga kama sijakosea sana mwaka jana ulileta uzi wa mauwaji ya mtoto mmoja huko mbeya na mtuhumiwa ni kijana akiitwa mbereseko, nisaidie, ni huyo huyo au siko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…