Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Swali ni kwamba alitakiwa awe shule Dodoma wakati wa tukio Garisa alifuata nini na nini kilimtoa shuleni? Hata wazazi aliwaficha nini kilikuwa kinaendelea huko? Mungu atusamehe maana ametuacha na maswali mengi wakati jibu analo yeye na washirika wake
 
Dah kumbe ni kweli alijiunga na hilo kundi?
Hivi huku Tanzania kuna mawakala wa alshabaab au kuna connection gani hufanyika?
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
 
Unaposema shahidi una maana gani? Kama ni wa.mahakamani naomba.nisamehe, mbali ns Hilo hujui ulichoandika
Namaanisha Matyr
-One who dies for his faith
-considered to have accepted or even consciously sought out their own death in order to bear witness to their Islamic beliefs

Quran 3:169!!
Think not of those who are slain in Allah's way as dead. Nay, they live, finding their sustenance in the presence of their Lord; They rejoice in the bounty provided by Allah. And with regard to those left behind, who have not yet joined them (in their bliss), the (Martyrs) glory in the fact that on them is no fear, nor have they (cause to) grieve.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
Circumstencial evidence mkuu ilimtia hatian

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wamemdinya! Hakuna kujiua hapo.
Magaidi hupotezwa kwa namna hiyo.
Bado Ghailani huko marekani.
 
Angepata mwanasheria mzuri kabla ya kuhukumiwa
Au wa kukata rufaa
Hao wenzake waliohukumiwa pamoja , walikuwa na mawakili wa kuwatetea, ni yeye peke yake ambaye hakuwa na wakili. Isitoshe wenzake walikamatiwa zaidi ya 600 km kutoka eneo la tukio. Lakini yeye alikutwa eneo la tukio na hakuwa na maelezo yaliyonyooka
 
1. Jamaa alikamatwa akiwa amejificha darini siku ya tukio. Wakati wenzake wanakimbilia kwa polisi waokolewe, yeye kajificha dhidi ya polisi.

2. Kutoa maelezo ya nini kilimleta pale alishindwa. Mnaosema alimfata demu kwani nchini Kenya ni kosa kudate na mwanachuo? Kama alimfata demu wake si angesema. Kwa hiyo aliona aibu ikabidi abebe msala wa ugaidi kuliko mapenzi.

3. Bihawana alikokuwa anasoma alikuwa na matatizo ya kinidhamu hasa msimamo wake mkali wa kiimani. Huyo swala tano sio wa kufuata demu Kenya.

4. Mtu wa imani na mwenye hofu ya Mungu anatoroka shule na kwenda nje ya nchi, kisha anajificha dhidi ya polisi waokoaji. Kwani polisi wanamtia najisi?

5. Kwa nini hakuwa na maelezo hata kama ni makosa yawe makosa madogo kuliko kubwa. Sijui tudhanie alikuwa mwizi akaogopa kesi ya wizi akaona bora ya ugaidi.

6. Kitu gani kilimpa ulinzi mpaka asiwaogope magaidi. Kitu gani kilimtia doa mpaka awaogope polisi.
 
Hujui unachoongea, huyo Bihawana secondary walikuwa wanamjua mzee wa itikadi Kali, iweje awe na demu huku mzee swala tano Tena itikadi Kali?

Dogo alijiunga Al shabab kupitia shehe Ilunga branch ya Abdul Rongo Kenya, na akapewa mafunzo!

Kwenye chuo kile alienda akiwa master plan wa tukio maana alikuwa kijana sawa na wanachuo hivyo vigumu kushtukiwa!!

Ndomana Al shabab walivyokuja under his instructions hawakuweza kumdhuru maana Ni mwenzao!
Uko sahihi kabisa
 
Nikusahihishe kidogo alikuwa anaitwa Sheikh Abdul Rogo Sheikh maarufu sana Mombasa kwa kutoa mihadhara ya kiislamu yenye itikadi kali katika msikiti wa Mussa Polisi wa Kenya waliamua kumuua yeye na Swahiba wake Sheikh Makaburi
 
Hao wenzake waliohukumiwa pamoja , walikuwa na mawakili wa kuwatetea, ni yeye peke yake ambaye hakuwa na wakili. Isitoshe wenzake walikamatiwa zaidi ya 600 km kutoka eneo la tukio. Lakini yeye alikutwa eneo la tukio na hakuwa na maelezo yaliyonyooka

Umeona sasa?
Kama alikuwa mwenzao iweje wasimtetee?
Halafu mbona kakamatwa Peke yake?
Hadi hapa Tu unaona I was right all the way
 
Umeona sasa?
Kama alikuwa mwenzao iweje wasimtetee?
Halafu mbona kakamatwa Peke yake?
Hadi hapa Tu unaona I was right all the way
Huyu kijana kakutwa na vielelezo vyote vinavyoweza kumtia mtu hatiani. Kakutwa na mabomu, na pia alikuwa hana pasi ya kusafiria na yeye mwenyewe alishindwa kutoa maelezo kuwa kaenda kufanya nini kule?
 
Back
Top Bottom