Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
nani kasema Shahidi ni gaidi...rudia kusoma nlichoandikaGaidi ni shahidi? Una uhakika na ulichoandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kasema Shahidi ni gaidi...rudia kusoma nlichoandikaGaidi ni shahidi? Una uhakika na ulichoandika?
Swali ni kwamba alitakiwa awe shule Dodoma wakati wa tukio Garisa alifuata nini na nini kilimtoa shuleni? Hata wazazi aliwaficha nini kilikuwa kinaendelea huko? Mungu atusamehe maana ametuacha na maswali mengi wakati jibu analo yeye na washirika wakeKweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Unaposema shahidi una maana gani? Kama ni wa.mahakamani naomba.nisamehe, mbali ns Hilo hujui ulichoandika
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
Namaanisha MatyrUnaposema shahidi una maana gani? Kama ni wa.mahakamani naomba.nisamehe, mbali ns Hilo hujui ulichoandika
Alikuwa form 3 boy.......form 5 hakufikaAlikuwa form5 mkuu, siyo form2
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Namaanisha Matyr
-One who dies for his faith
-considered to have accepted or even consciously sought out their own death in order to bear witness to their Islamic beliefs
Quran 3:169!!
Think not of those who are slain in Allah's way as dead. Nay, they live, finding their sustenance in the presence of their Lord; They rejoice in the bounty provided by Allah. And with regard to those left behind, who have not yet joined them (in their bliss), the (Martyrs) glory in the fact that on them is no fear, nor have they (cause to) grieve.
Sent using Jamii Forums mobile app
Circumstencial evidence mkuu ilimtia hatianBro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
Hao wenzake waliohukumiwa pamoja , walikuwa na mawakili wa kuwatetea, ni yeye peke yake ambaye hakuwa na wakili. Isitoshe wenzake walikamatiwa zaidi ya 600 km kutoka eneo la tukio. Lakini yeye alikutwa eneo la tukio na hakuwa na maelezo yaliyonyookaAngepata mwanasheria mzuri kabla ya kuhukumiwa
Au wa kukata rufaa
Uko sahihi kabisaHujui unachoongea, huyo Bihawana secondary walikuwa wanamjua mzee wa itikadi Kali, iweje awe na demu huku mzee swala tano Tena itikadi Kali?
Dogo alijiunga Al shabab kupitia shehe Ilunga branch ya Abdul Rongo Kenya, na akapewa mafunzo!
Kwenye chuo kile alienda akiwa master plan wa tukio maana alikuwa kijana sawa na wanachuo hivyo vigumu kushtukiwa!!
Ndomana Al shabab walivyokuja under his instructions hawakuweza kumdhuru maana Ni mwenzao!
Nikusahihishe kidogo alikuwa anaitwa Sheikh Abdul Rogo Sheikh maarufu sana Mombasa kwa kutoa mihadhara ya kiislamu yenye itikadi kali katika msikiti wa Mussa Polisi wa Kenya waliamua kumuua yeye na Swahiba wake Sheikh MakaburiHujui unachoongea, huyo Bihawana secondary walikuwa wanamjua mzee wa itikadi Kali, iweje awe na demu huku mzee swala tano Tena itikadi Kali?
Dogo alijiunga Al shabab kupitia shehe Ilunga branch ya Abdul Rongo Kenya, na akapewa mafunzo!
Kwenye chuo kile alienda akiwa master plan wa tukio maana alikuwa kijana sawa na wanachuo hivyo vigumu kushtukiwa!!
Ndomana Al shabab walivyokuja under his instructions hawakuweza kumdhuru maana Ni mwenzao!
Hao wenzake waliohukumiwa pamoja , walikuwa na mawakili wa kuwatetea, ni yeye peke yake ambaye hakuwa na wakili. Isitoshe wenzake walikamatiwa zaidi ya 600 km kutoka eneo la tukio. Lakini yeye alikutwa eneo la tukio na hakuwa na maelezo yaliyonyooka
Circumstantial evidence haiwezi kumtia mtu hatiani bali huwa wanaangalia na aina nyingine za ushahidi kama vile direct evidence
Huyu kijana kakutwa na vielelezo vyote vinavyoweza kumtia mtu hatiani. Kakutwa na mabomu, na pia alikuwa hana pasi ya kusafiria na yeye mwenyewe alishindwa kutoa maelezo kuwa kaenda kufanya nini kule?Umeona sasa?
Kama alikuwa mwenzao iweje wasimtetee?
Halafu mbona kakamatwa Peke yake?
Hadi hapa Tu unaona I was right all the way