Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
Hahahah mkuu acha kuniinjoy basi, watu wanafunga 50M-100M kwa mwaka!
Utafananisha na mtu anaesevu 3M-5M
Mtu wa mwisho kumsoma akiandika vitu kama hivi alikuwa ONTARIOHaha napata point yako ila sio entrepreneurship hiyo, wanasema mfundishe mtu kuvua samaki sio kumpa samaki, kama wanataka ideas kuna thread moja humu mtua alipost idea zaidi ya 10 ambazo nyingi ukifanyia kazi unatengeneza mamilioni, in short kuna idea moja alitaja ambayo hata mimi nilikua nshaanza kuifanyia kazi.
Kua entrepreneur mzuri solution ni moja tu, angalia tatizo ambalo lipo kwenye mazingira yako, tafuta solution yake na solution iwe ambayo watu wanaweza kulipia, alafu solve hilo tatizo watu wakupe hela. Kila biashara ndivyo ilivyo.
Sasa bongo matatizo mbona yamejaa mno? Na kama mtu hana capital akianza kuimplement idea hata kwa hela kidogo anaweza fika sehemu akaomba investment makampuni yapo mengi yanatafuta watu wanaojaribu kitu kipya wainvest, hata mimi mwenyewe ukija na kitu kipya na kinaweza tengeneza hela kweli umeanza kuexecute vizuri investment naweza toa mapema kabisa, just don’t come with an idea, njoo ukiwa umeishaanza kuexecute, napenda sana execution kuliko maneno tu.
Na nishapata jengo kubwa soon nitafungua incubator Dar es salaam ya technology kuleta startup companies mbalimbali bongo nawapa ofisi bure kabisa wakae waimplement wanachotaka, nawapa na msaada wa marketing kwenye sns, mabango ya barabarani ikihitajika au technical experties maana nina miaka zaidi ya 10 kwenye utengenezaji wa software.
Naomba vijana wa kitanzania muamke, acheni lawama, acheni excuses, hakuna mtu atakaa awasikilize, amka anza kupiga kazi, huna direction kaa uliza watu, kaa tafuta connection, tafuta like minded people, kila mtu ana strength zake na weakness zake, tafuta mtu opposite na wewe anayeweza kukupa nguvu aple ambapo una mapungufu, entrepreneurship una challenge zake kibao ila trust me ukihit ni biashara moja tu unachomoka kabisa unasahau umasikini.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sindio business mkuuMku haupo serious au la unachangamsha genge! Au la sijakupata
Twende practical... Mfano uyo jamaa wa law anahitaji kujiajiri ila iyo biashara unahitaji 100K na iyo K hana, unasemaje anawaza kuajiriwa tu.
Ndo nakushangaa kwanini udharau hiyo 3-5m!..wewe mchaga kweli?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sindio business mkuu
Hii hoja huwa naiona ya kijinga sana, Hivi huyo mjasiriamali yeye hataajiri watu? Sasa hao atakaowaajiri watatoka wapi kama kila mtu atakuwa amejiajiri?TUNATEGEMEANA. Nchi haiendeshwi na wajasiriamali pekee.
Usisahau na wewe ndio ulikua head prefect wa shule tuliyokua tunajazwa ujinga.Unavyoelezea unaonesha kama ulienda shule, kama kweli basi ni wazi shule uliyoenda ilikunyima kuelimika ikakujaza ujinga.
Mshauri wa dj mkuuu kivipi?
Duu kumbe ndio hivyo.Hawezi kosa mtaji wa 100K
Mi dadake nipo na mamake yupo.
Alishapewa duka la 12M limemshinda.
Akipewa leo 500k kesho hana anakuomba buku ya supu.
Ila vitu vingine haviihitaji mtaji.
Mfano lawyer sio lazima aanze na ofisi au mtaji watu wanahitaji huduma ya kisheria anaweza saidia na akapata hela. Eg kuandika mikataba ya nyumba, kuwasaidia watu wanaoenda Mahakamani nk
Sent using Jamii Forums mobile app
AmezidiNadhani, maana huwez kukosoa kwenye vitu vidogo vidogo hivyoo.Kwani umesikia hapa anafanyiwa usahili mpaka umtake kuandika vizuri??
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Hahahah na motivational speaker huyo aliongea maneno hayo huku akijifuta uso wake kwa mikono baada ya leso aliyokua akitumia kua imeloa jasho chapa chapa sababu ya kutembea kwa miguu kutoka kutoka Bunju mpk hapa Mwenge kwny huu mkutano.Nunua maharage kilo mbili na cement mifuko mitatu kisha jenga mgahawa. Baada ya miezi saba utakuwa na five star hotel na zaidi ya bilion mia tatu benki!
Alisikika motivational speaker kwenye viunga vya stendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kila mtu akiwa mjasiriamali itakuwaje?
Ujasiriamali wenyewe wa kuuza nyanya!
Hebu tuwe serious watanganyika!
Ujasiriamali ni kipaji ambacho sio wote wako nacho! Ujasiriamali ni taaluma!
Kila mtu atembeze tenga la nyanya patatosha kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaokaa kwenye viyoyozi mna maneno sana. Tuacheni tuuze nyanya na matikiti,kupanga ni kuchagua.Hahahah na motivational speaker huyo aliongea maneno hayo huku akijifuta uso wake kwa mikono baada ya leso aliyokua akitumia kua imeloa jasho chapa chapa sababu ya kutembea kwa miguu kutoka kutoka Bunju mpk hapa Mwenge kwny huu mkutano.
Mkuu acha utani,maharage kilo mbili 70m hayo maharage ya dhahabu?!Uza harage kilo mbili upate milioni sabini!
Akili za motivational speakers ni za ajabu na ukizitafakari ni kama mazingaombwe!
Sent using Jamii Forums mobile app