Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kumbe?Hata mwanamke pia huwa hawajali ni hatar mno
WamezidiWote ni walewale hakuna unafuu
Tena mwanamke ndo itokee kaachwa na mtu mwenye uwezo utasikia usinibabaishe una nini wewe nimeacha huko vitu kibao bora mwanaume ana staha muda fulaniKumbe?
UshaanzaYamekukuta yapi ?
Si avifate?Tena mwanamke ndo itokee kaachwa na mtu mwenye uwezo utasikia usinibabaishe una nini wewe nimeacha huko vitu kibao bora mwanaume ana staha muda fulani
Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!
Ana shida gani wakati alidanganywa tu.Wa kuogopwa ni single mother tu basi.
Kweli maaWote tunamoyo maumivu,ghazabu tunazo.
Unajua tungeelewa vizuri jana ungesema hicho kibuti ulipigwa pigwaje, kuliko kuweka funzo tu, slow learner kama Mimi sielewi alooUshaanza
Kaazi kwelikweli....... Kwa mawazo haya mtaendelea kuchezewaaaaaa weeeeeeeeeee nahamna lamaana mtakalopata.Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!