Mfupa uliomshinda fisi

Mfupa uliomshinda fisi

Hata mwanamke pia huwa hawajali ni hatar mno
 
Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!
Kaazi kwelikweli....... Kwa mawazo haya mtaendelea kuchezewaaaaaa weeeeeeeeeee nahamna lamaana mtakalopata.

Ivi nani anawambia mwanamme akiwa mzee/kakuzidi miaka/aliwah kua ndoan Basi amestaharabika yakwamba anabusara na hekima??? ...kumbe ndomaana watu wanaishia kuliwa ovyo nakubaki kulia lia ??

Uanamme wa mwanamme UPO KICHWANI MWAKE, na aina ya maisha anayokupa ..FULL STOP.


Pole lkn, muwe mnaacha Akili zifanye kazi nasio kuacha " Upweke na hamu ya" ndo vifanye kazi.
 
Back
Top Bottom