Wazee wa betting mmeambiwa kweli chungu.Heche ameshindwa kukitafutia chama mapato ataweza vipi kuondoa umasikini wa bavicha?
Hello!
Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje yaliko anzishwa makampuni haya ya kubeti, wananchi wakiachiwa utumwa na umaskini,
Unakuta boda boda anashinda na kukesha akikwrpana na maroli barabarani, akipata 20,000, anapekeka 10,000 kubeti na analiwa ZOTE, para picha, kwa mwaka anapoteza kiasi gani na nchi inapata hasara kiasi gani kwa 80%ya mapato ya betting yanayoingia kwenye nchi za nje KUPITIA betting 🤔
Sasa watunishi hawa wa Mungu John Heche na CHADEMA wameliona Hilo na kuliweka wazi mapema kabisa bila kuhofia kupoteza kura fake za wacheza kamari na wamiliki wa michezo hiyo ya kubahatisha akina Mwigu.
NB: Truth shall set you free.
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu Mbariki John Heche.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania.
Karibu ni🙏
Watu wenye vision, MaonoHello!
Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje yaliko anzishwa makampuni haya ya kubeti, wananchi wakiachiwa utumwa na umaskini,
Unakuta boda boda anashinda na kukesha akikwepana na maroli barabarani, akipata 20,000, anapekeka 10,000 kubeti na analiwa zote, pata picha, kwa mwaka anapoteza kiasi gani na nchi inapata hasara kiasi gani kwa 80%ya mapato ya betting yanayoingia kwenye nchi za nje kupitia betting 🤔
Sasa watumishi hawa wa Mungu John Heche na CHADEMA wameliona Hilo na kuliweka wazi mapema kabisa bila kuhofia kupoteza kura fake za wacheza kamari na wamiliki wa michezo hiyo ya kubahatisha akina Mwigu.
NB: Truth shall set you free.
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu Mbariki John Heche.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania.
Karibu ni🙏
Hahaha sijui watasemaje kwenye vyombo vyao. Maana hadi TBC wanatangaza kamali😅Wazee wa betting mmeambiwa kweli chungu.
Ni kumeza tu hakuna namna.
Ni Kama Mental WeaponsBetting ni disaster
HehehehHeche amepiga marufuku kamari?
Nyumbu gani😅😅 wacheza kamali?Hawa nyumbu ndo maana lissu anaamua kuwapiga tone tone tu maana hakuna namna.
Amesema wazee wa betting mjiandae CHADEMA ikishika hatamu,Heche amepiga marufuku kamari?
Wacheza kamari sio manyumbu, nyumbu ni wale wanaopigwa tone tone......hakuna mcheza kamari atapigwa tone lake.Nyumbu gani😅😅 wacheza kamali?
Kuelimisha watu kuacha kubeti ni kupoteza muda,Kweli Chawa hana Gamba wala Gwanda... Yaani ishakuwa pande zote ni mwendo wa propaganda na kuvishana vilemba vya ukoka badala ya kujikita kwenye Hoja..., Case in point badala ya hapa kuongelea athari za addiction tunaongelea nadharia za hawa watu kumaliza hii issue !!???
Wanamaliza vipi ? kwamba ni kama switch ya kuzima na kuwasha ? AU...
By the way kuongelea mtu mmoja kumaliza betting na addictions ndio yaleyale ya kudhani mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko zaidi ya ushirikishwaji wa watu husika...
- Kutumia elimu na kuelewesha watu athari, (Hili linaweza kufanywa vema na Wasanii)
- Kutumia sheria kupinga utangazaji na promotion ya kamari (Serikali na Watunga Sera)
- Kuhakikisha watu wana ujira wa kutosha na kuacha kufukuzana na illusion ili huu mwaka uwe wao... Na hili ni la kitamaduni zaidi sababu jamii ya sasa inataka quick results