Mfupa wa samaki tatizo

Pamoja sana
 
Mzee dawa ni ngumi ya koromeo tu hio ni tiba ya haraka sana yani, quick solution. Nitafute nikutie "GUMI LA ROHO" kama ushawahi isikia hio.
 
Mmh achana na kujiingiza vidole embu fuata utaalamu wa wabobezi hapo juu.
 
HΓ bar marafiki nipatwa na tatizo hapa Lina nikera Sana Yani kwenye Kana kamwimba kamenasa hakaumi Ila kananikera tu naombeni msaada jinsi ya kakatoa maana nishaingiza vidore ili nitapaki bado akatoke naombeni njia jinsi ya kukatoa
Habari!

Inawezekana ikawa ni eneo lililokwaruza ndo linakusibu, kwani koo ni very sensitive hivyo unaendelea kuhisi uwepo wa kitu.

Ni vyema kumwona ENT ili aweze kukuanalia nini kinaendelea.

Hakuna haja ya kutumia vitu kama ndizi au ugali, kwa haujui mwelekeo wa kitu husika kama kipo na unaweza kukishindilia zaidi kwenye ukuta wa njia ya chakula na kufanya zoezi la kukitafuta kuwa gumu zaidi au kuumia zaidi.
 
Niko na Io shida kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…