Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Hata nguvu ya kutoa salam leo sina!
Nikaona tangazo huko Instagram mgahawa umepambwa, vyakula vinavutia, wakisema kuna bufee ambalo haliishi chakula mpaka saa nne.
Nikajibeba na swaum yangu huyoo, foleni leo ilikuwa si ya kitoto njia ya chini huku Mbezi, hadi nimefika ni saa mbili.
Aroo vyakula karibu vyote vimeisha, hakuna hata maji ya kunywa😂🤣🤣. Sasa kama unajua jikoni hamn kitu kwanini uendelee kupokea pesa?
Halafu ujinga wanaofanya, ukiwaulliza wanakwambia chakula kinaongezwa sasa hivi, ukimdaka mhudumu mwingine anakwambia kimeisha. Kuna wengine nimewakuta hapo, japo waliwahi wameishia kujaza sukari tu kwa kula vibites🤣🤣.
Ukienda kudai hela yako (unalipia kwanza kusogea sehemu ya chakula, na kupewa kupon) yule msimamizi wao, nadhani ndio Meneja yaani hata hajisumbui kuomba radhi, ni mkavu, anamwambia tu mhudumu "warudishie hela zao"!
Msipojirekebisha mtaua biashara, umefturusha siku ya 1 umeona hali ilivyo, siku ya pili, ya 3 wewe unafanya makusudi.
Hiko chakula chenu kina worth elf 15 tu siyo zaidi.
Halafu unapokea watu wengi hivyo unakuwa na choo kimoja kwa wanaume na wanawake! Hampo serious nyinyi. Anyhu mkiendelea kukaza fuzu mtapotea shwaa!
Wakuu nna njaa hadi napata hasira. Nikatafute pa kwenda kula kiepe tu nisije hesabu mabati usiku.