Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Usiniambie hukulaLeo nimeenda nikaagiza miguu ya kuku wakaniletea miguu ya bata ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniambie hukulaLeo nimeenda nikaagiza miguu ya kuku wakaniletea miguu ya bata ...
Napa jua Sana, Kuna manager uchwara mzee wa mashati.Pale pazuri sana Kwa misosi hasa kipindi hiki Cha Ramadan
Kwa huduma nimepata leo ndio imetoka hiyo, kesho ni kijiwe kingineKesho nenda mapema
Hahahaha,nishakumbukaNapa jua Sana, Kuna manager uchwara mzee wa mashati.
Hello swetie?? Mme wamtu wa halalSogea Golden Folk ,au Sultan shoppers plaza
ana roho ngumu Sana yule Jamaa, Cha kushangaza hata kwenye mahesabu hahusiki.Hahahaha,nishakumbuka
Hahahaha, I'd Yako ya zamani inaitwaje? Na hujalala muda huuHello swetie?? Mme wamtu wa halal
Sina ID ingineHahahaha, I'd Yako ya zamani inaitwaje? Na hujalala muda huu
Ikisha shine tu wanaanza kuendesha kwa mazoea, hawaweki efforts tena. Ndio hapo safari ya kufa inaanzaWabongo wengi ndio tulivyo biashara ikianza kushine tu! Tunaanza nyodo
Wakuu,
Hata nguvu ya kutoa salam leo sina!
Nikaona tangazo huko Instagram mgahawa umepambwa, vyakula vinavutia, wakisema kuna bufee ambalo haliishi chakula mpaka saa nne.
Nikajibeba na swaum yangu huyoo, foleni leo ilikuwa si ya kitoto njia ya chini huku Mbezi, hadi nimefika ni saa mbili.
Aroo vyakula karibu vyote vimeisha, hakuna hata maji ya kunywa😂🤣🤣. Sasa kama unajua jikoni hamn kitu kwanini uendelee kupokea pesa?
Halafu ujinga wanaofanya, ukiwaulliza wanakwambia chakula kinaongezwa sasa hivi, ukimdaka mhudumu mwingine anakwambia kimeisha. Kuna wengine nimewakuta hapo, japo waliwahi wameishia kujaza sukari tu kwa kula vibites🤣🤣.
Ukienda kudai hela yako (unalipia kwanza kusogea sehemu ya chakula, na kupewa kupon) yule msimamizi wao, nadhani ndio Meneja yaani hata hajisumbui kuomba radhi, ni mkavu, anamwambia tu mhudumu "warudishie hela zao"!
Msipojirekebisha mtaua biashara, umefturusha siku ya 1 umeona hali ilivyo, siku ya pili, ya 3 wewe unafanya makusudi.
Hiko chakula chenu kina worth elf 15 tu siyo zaidi.
Halafu unapokea watu wengi hivyo unakuwa na choo kimoja kwa wanaume na wanawake! Hampo serious nyinyi. Anyhu mkiendelea kukaza fuzu mtapotea shwaa!
Wakuu nna njaa hadi napata hasira. Nikatafute pa kwenda kula kiepe tu nisije hesabu mabati usiku.
Hahahaha,vzr , umeamkajeSina ID ingine
Futari njema huko uendakoKwa huduma nimepata leo ndio imetoka hiyo, kesho ni kijiwe kingine
Hizo nguvu ungetumia kwenda restaurants za posta usingejutaWakuu,