Mgahawa wa Adams Mikocheni msipojirekebisha mtafirisika kwa huduma mbovu

Pole sana biashara nyingi saivi wanejikita kwenye marketing wakasahau customer service unapata mteja unashindwa kumtunza hii ni chamgamoto sana
 
Tuna wateja wetu, ww sio mteja ni mpelekezi tu
 
Wabongo wengi ndio tulivyo biashara ikianza kushine tu! Tunaanza nyodo
Ikisha shine tu wanaanza kuendesha kwa mazoea, hawaweki efforts tena. Ndio hapo safari ya kufa inaanza
 

Huo mgahawa wa Adam ndio huo hapo kwa Mwalimu hata Parking hamnaa ? Si mje hapa kwa mama Ndambu mwananyamala ukitoa hiyo alfu arobaini, Mama ndambu anafukuza wateja wote mpaka ule wewe ushibe 🤣🤣
 
Bora umewasanua na wengine tumewajua. Hawa viumbe huwa wanajisahau sana eneo la biashara.

Na sio hawa tu, biashara nyingi Tanzania wapo vema eneo la kupiga debe a.k.a Marketing ila ukija eneo la kutoa huduma ni hakuna kitu,wana ahidi ambacho hawawezi kukitekeleza.
 
Hizo nguvu ungetumia kwenda restaurants za posta usingejuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…