Mgahawa wa akina Joti gumzo Sabasaba!

Mgahawa wa akina Joti gumzo Sabasaba!

Ninachowapendea OK ni hawana skendo sana kama wale kina fulani wa BET na MTV
 
Watu tonatofautiana mkuu, kwa wakati huu sina mtu wa kubadilishana naye mawazo, kila mtu yupo Stressed.

Kuwepo kwango Jf siyo kwa Leisure bali saa nyingine napata Relief kidogo ya Jambo lililotokea.

Kumbuka Jambo likishatokea hakuna namna tena ya ku-reverse.

Kuanzisha thread mbona ni Copy and Paste tu hai-consume chochote mkuu?

Anyway ahsante kwa kuwa concerned kwa hilo.

Kumbuka hii nilipost kabla sijapata taarifa za msiba.

Ahsante.

Polee sana
 
wakiwa series wanaweza kuwa kama Mc donald na kujiingizia kipato hebu fikiria wakianzisha mgahawa na kuupa jina la Ok Restaurant alafu baada ya miaka kadhaa wakaenda mikoani kufungua migahawa kama hiyo si watakuwa mamilionea
 
Back
Top Bottom