Mgamba JKT vs SIMBA SC. leo tarehe 16/09/2015

Mgamba JKT vs SIMBA SC. leo tarehe 16/09/2015

Newboy

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
113
Reaction score
42
Kikosi cha Simba kitakachoanza leo ni

1. Peter Manyika
2. Mohamed Hussen
3. Hassan Kessy
4. Murushid Juuko
5. Hassan Isihaka
6. Justice Majabvi
7. Awadh Juma
8. Said Hamisi Ndemla
9. Mussa Hassan Mgosi
10.Mwinyi Kazimoto
11.Peter Mwalyanzi

Wachezaji wa akiba ni
1. Angban Vincent
2. Emery Nimubona
3. Said Issa
4. Hamisi Kizza
5. Pape Ndaw
6. Boniphace Maganga
7. Ibrahim Ajibu
 
Mungu saidia chama letu litoke na ushindi na leo.
 
Kikosi cha Simba kitakachoanza leo ni

1. Peter Manyika
2. Mohamed Hussen
3. Hassan Kessy
4. Murushid Juuko
5. Hassan Isihaka
6. Justice Majabvi
7. Awadh Juma
8. Said Hamisi Ndemla
9. Mussa Hassan Mgosi
10.Mwinyi Kazimoto
11.Peter Mwalyanzi

Wachezaji wa akiba ni
1. Angban Vincent
2. Emery Nimubona
3. Said Issa
4. Hamisi Kizza
5. Pape Ndaw
6. Boniphace Maganga
7. Ibrahim Ajibu

Kikosi Hiki Ukiponapona Sana Unapigwa Wiki Ila Ukiingia au Ukijaa Tu Ktk Frame Unaweza Hata Ukala Goli 11.
 
Mpira ni half time timu ndiyo zinatoka uwanjani huku Simba ikiwa mbele kwa bao moja.
 
2nd half imeanza hapa Mkwakwani Simba ikiongoza 1 kwa nunge.
 
Kwa wanaoangalia mpira, tunachezaje? kiwango vipi? naongelea mnyama!
 
Mgambo wana kipa mzuri sana, kaokoa 2 za hatari sana
 
Simba wanatakiwa waongeze la pili kujihakikishia maana hawa Mgambo hawatabiriki
 
kuna haja ya kuendelea kutafutwa striker atakayekuwa na uwezo wa kudumbukiza mipira kwenye nyavu.......
 
Back
Top Bottom