Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.

Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering

Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele cha kubakizwa apate ajira ?
 
Bahati nasibu
 
Na je aliyepata division 2 (PCB) mwanamke, yupo JKT kwa mujibu Sasa hivi, anaweza kubakishwa akajiunga na JWTZ?
Umeyaona matokeo ya mwaka huu ? karibia kila mwanafunzi kapata 1 na 2
 
Na je aliyepata division 2 (PCB) mwanamke, yupo JKT kwa mujibu Sasa hivi, anaweza kubakishwa akajiunga na JWTZ?
Kwanza ukishakuwa JKT, siyonlazima uqe JWTZ.

Taasisi nyingi zinachukua JKT kama Polisi, Magereza, JWTZ, Uhamiaji, etc

Hakuna mfumo wa moja kwa moja
 
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.

Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering

Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele cha kubakizwa apate ajira ?
Kwa Tanzania Kazi Bila Connection utoboi.....
Mimi Sijawai kuajiriwa na Sina ndoto ya Kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom