watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Bahati nasibuAlimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.
Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering
Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele cha kubakizwa apate ajira ?
Na je aliyepata division 2 (PCB) mwanamke, yupo JKT kwa mujibu Sasa hivi, anaweza kubakishwa akajiunga na JWTZ?Bahati nasibu
Umeyaona matokeo ya mwaka huu ? karibia kila mwanafunzi kapata 1 na 2Na je aliyepata division 2 (PCB) mwanamke, yupo JKT kwa mujibu Sasa hivi, anaweza kubakishwa akajiunga na JWTZ?
Kwanza ukishakuwa JKT, siyonlazima uqe JWTZ.Na je aliyepata division 2 (PCB) mwanamke, yupo JKT kwa mujibu Sasa hivi, anaweza kubakishwa akajiunga na JWTZ?
Kwa Tanzania Kazi Bila Connection utoboi.....Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.