Ila wanachokifanya ni kitu hatari Kwa usalama wao na Raia pia maana wanatumia nguvu nyingi na ubabe kuliko akili,nashauri mamlaka zinazohusika na Hawa migambo zione namna nzuri ya kuwatumia kwa uzuri sio kuwatuma wenyewe TU. Kwanza migambo wananjaa sana, wanaomba rushwa bila aibu, wanaweza wakaanzia elf 50 ila ukiwambia una elf 5 wanachukua.
ni karibu kila mahali dar kwny serikali ya mtaa jambo hilo linafanyika, , mgambo wanakuwa wengi na polisi mwny uniform mmoja au wawili na viongozi wa mtaa...