Ila wanachokifanya ni kitu hatari Kwa usalama wao na Raia pia maana wanatumia nguvu nyingi na ubabe kuliko akili,nashauri mamlaka zinazohusika na Hawa migambo zione namna nzuri ya kuwatumia kwa uzuri sio kuwatuma wenyewe TU. Kwanza migambo wananjaa sana, wanaomba rushwa bila aibu, wanaweza wakaanzia elf 50 ila ukiwambia una elf 5 wanachukua.