Ukikutana naye cha kwanza ana sikiliza shida zako vizuri. Halafu anakuuliza vipi umejaribu mara ngapi kutatua hizo shida zako kabla ya kunifuata?
Una jibu, halafu anakwambia ukweli kuwa inawezekana au haiwezekani. Ila anakupa dawa kwanza kabla ya kuomba pesa zako. Anakuambianenda kujaribu ukifanikiwa utangalia chochote utakachonipa.
Hayo ndiyo maneno ya waganga wa kweli. Ila ukikutana na mganga muongo cha kwanza wana maneno mengi kuliko vitendo, halafu wanaweke pesa mbele sana, utasikia huyo jini ndoike huyo.
Tambua hapo ndugu yangu umepigwa!