Mganga anayejua dawa za kweli yupo hivi

Mganga anayejua dawa za kweli yupo hivi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ukikutana naye cha kwanza ana sikiliza shida zako vizuri. Halafu anakuuliza vipi umejaribu mara ngapi kutatua hizo shida zako kabla ya kunifuata?

Una jibu, halafu anakwambia ukweli kuwa inawezekana au haiwezekani. Ila anakupa dawa kwanza kabla ya kuomba pesa zako. Anakuambianenda kujaribu ukifanikiwa utangalia chochote utakachonipa.

Hayo ndiyo maneno ya waganga wa kweli. Ila ukikutana na mganga muongo cha kwanza wana maneno mengi kuliko vitendo, halafu wanaweke pesa mbele sana, utasikia huyo jini ndoike huyo.

Tambua hapo ndugu yangu umepigwa!
 
Mganga awe mkweli ?
Piga gun wote na mauchawi uchawi Yao.
 
Mganga Mshana: Natoa Pete ya utajiri na kupandishwa cheti kazini halafu kwao huko kwa wazazi na familia wamejaa shida tupu! Au uganga hauruhusiwi kutajirisha wana familia kwanza?😂😂😂
 
Back
Top Bottom