Mganga hajigangi

Ivi ile meli iliyozinduliwa kwa mbwembwe itakayo fanya safari za bagamoyo dar ipo wapi inafanya kazi au sielewi anayejua anifahamishe plz
 
Ivi ile meli iliyozinduliwa kwa mbwembwe itakayo fanya safari za bagamoyo dar ipo wapi inafanya kazi au sielewi anayejua anifahamishe plz
Inaandaliwa kuwa floating hotel pale ferry
 
Tatizo la binadamu uwezi kuwa kamili kwa kila kitu lazima tu utakuwa na mapungufu sasa wao wanajiona watakatifu na mmoja wao nakusema atakuwa rais wa malaika wakati ata maandiko yanasema kuna malaika mkuu tayari Gabriel
 
Vichekesho Bagamoyo/Dar kwa barabara ni karibu kuliko kusafiri kwa hii boti. Kuna sehemu kadhaa wanihitajia hii boti ingewasaidia kiusafiri na kukuza utalii mfano kwenda Mafia na pia Tanga/Pemba/Znz
 
Picha ya mheshimiwa Joni imenitisha kidogo...
Utadhani anayaita maruhani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…