Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishinikizwa, kila jema lilielekezwa Bagamoyo.
Ni kukufuru kabisa tena alitakiwa atubu mbele ya vyombo vya habari kama alivyotamka,Mungu hadhihakiwi kabisaTatizo la binadamu uwezi kuwa kamili kwa kila kitu lazima tu utakuwa na mapungufu sasa wao wanajiona watakatifu na mmoja wao nakusema atakuwa rais wa malaika wakati ata maandiko yanasema kuna malaika mkuu tayari Gabriel
Kwani wewe unaweza kujitumbua?Jipu la wizara hiyo mbona inakwepwakwepwa hivi!!!
Kama kila mtu anapangufu, avumilie basi ya wenzake. La sivyo atoe maelezo juu ya pungufu lake kisha ashughulikie ya wenzie kuliko kukaa kimya utadhani yeye hajawahi kukosea.Tatizo la binadamu uwezi kuwa kamili kwa kila kitu lazima tu utakuwa na mapungufu sasa wao wanajiona watakatifu na mmoja wao nakusema atakuwa rais wa malaika wakati ata maandiko yanasema kuna malaika mkuu tayari Gabriel
Kwahiyo unataka kumtetea yeye hajapata mgao wowote?Si makosa yake bali ni amri kutoka juu, na hata aliyekula 20% si yeye ila ni .................. ni kama nyumba za serikali ni amri kutoka juu na sio yeye aliyekula 30%.
Ccm hakuna msafi, wore wapigaji na angechaguliwa raid mwingine magu angepandishwa kizimbani kwa ufisadi ndani ujenzi aliyoiongoza kwa mda mrefu[emoji419][emoji375]Ccm hakuna msafi, wore wapigaji na angechaguliwa raid mwingine magu angepandishwa kizimbani kwa ufisadi ndani ujenzi aliyoiongoza kwa mda mrefu. Sioni jonsi mtu aliyeshindwa kusafisha wizara akaweza kusafisha nchi