Mganga hajigangi

Huyu jamaa samahani mkuu samahani sana mkuu atakuwa ametoka kama sio kilaweni itakuwa ni Kiriche maana anaona akitoa pea moja kuvaa atakosa pesa
 
Huyu jamaa samahani mkuu samahani sana mkuu atakuwa ametoka kama sio kilaweni itakuwa ni Kiriche maana anaona akitoa pea moja kuvaa atakosa pesa

Hahahahaaa una maskhara kwenye utani eeh
 
aiseeee
wachagga wabahiri mweee
 
huyu ni mkibosho january lazima afungue duka la viatu
 
Na wewe umejiweka kundi gani? Tena mapigo yenu kabisa haya maana ninyi hata kujipenda ni sifuri

sista mimi wa kule ila sio wa wa kule namaanisha sina tabia zao hasa za wale wa kariakoo....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…