Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa una maskhara kwenye utani eeh
aiseeee
wachagga wabahiri mweee
Na wewe umejiweka kundi gani? Tena mapigo yenu kabisa haya maana ninyi hata kujipenda ni sifuri
sista mimi wa kule ila sio wa wa kule namaanisha sina tabia zao hasa za wale wa kariakoo....!!
wa kwetu kule tunajipenda asikwambie mtu.. wa hivi ni ndugu zake mshana jr mkuu