Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Nothing lasts longerMtaingiaje? Maana kila kukicha mnaitukana na kuidharau taasisi ya urais. Ushauri, sahau nyie wapinzani kushika hatamu ya Tanzania, mtabakia mashabi tu.
Kwa nini habari wasitoe wataalam wa afya wanatoa wanasiasa?Nadhani ni utaratibu uliowekwa ili kushibiti utoaji wa taarifa kiholela, katika kuilinda jamii na hofu isiyo sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
LMahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!
Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !
Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.
Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!
Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?
Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?
Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?😀😀😀
Kinyongo !kininyima Nini mkuu! Kwenye maeneo nyeti awaachie wataalamuL
Kwani kwenye nchi zingine ambao wanatoa hizo taarifa ni kina nani au una kinyongo na waziri ummy wewe
Tayari washamla kichwa mkuuMahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!
Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !
Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.
Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!
Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?
Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?
Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?[emoji3][emoji3][emoji3]