Mganga Mkuu wa Serikali ni nani na nini majukumu yake?

Kuna kitu gani alichosema huyo Dr Janabi ambacho mpaka anaongea serikari ilikuwa aijakigusia.

Nchi hii kesho akitokea Dr mwingine kwenye TV akajiita mtaalamu wa maswala ya epidemic akaanza kutufafanulia ‘mocous membrane’ na jinsi Corona anavyopenya kwenye hizo njia; kuna watu watakuja na kusema wamemwelewa zaidi huyo bwana au bibi kushinda serikari iliyokuwa inasema kitu icho icho kwa lugha nyepesi tangia mwanzo wa sakata.

Lengo la serikari ni kutumia lugha nyepesi ambayo kila mtu ataelewa, sio kuleta mbwembwe.
 
L
Kwani kwenye nchi zingine ambao wanatoa hizo taarifa ni kina nani au una kinyongo na waziri ummy wewe
 
Tayari washamla kichwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…