mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 531
Anaitwa CHUKWUDOZIE NWANGU al-maarufu kama AKWA OKUKU TIWARI NA OBA
Huyu jamaa alikuja kujua amechaguliwa na mizimu ya ukoo alipo kuwa na miaka 12, Aliitika with huo na kuanza kutibu watu na kujizolea umaarufu mkubwa sana!
Mpaka sasa anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani $1 milioni
Sawa na NAIRA 570,000,000
Jamaa anasaidia watu katika utafutaji, mapenzi, maswala ya visa uchwara(kuzamia bila kudakwa) na mambo mengi.
Akwa okuku tiwari aki na oba anamiliki hoteli na majumba mengi ya kifahali yaliyotokana na kazi yake ya UGANGA....
CHA KUJIULIZA.
Hapa kwetu TZ
Vijana wengi hapa kwetu Tanzania wameitwa na Mizimu ya Koo zao wakasimamie utabibu lakini wanaona ni UJINGA wanabaki kuishi maisha ya KICHOKORAA bila muelekeo.
ITENI MIZIMU YENU NAYO ITAWAITIKIA.