Mganga/Tiba sehemu za kiume-wapi hapa DSM?

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Kheri za sikukuu wandugu.
Nina mzee wangu ana tatizo la kuwashwa sehemu zake za siri kwa ndani na kupata maumivu makali,tumekwenda kwa baadhi ya hospitali hapa DSM bil amafanikio,je kuna mtu anayefahamu hospitali au na jina la dr.mtaalamu kwa magonjwa ya kiume kama hayo hapo?naomba ani PM au rakeyescarl@yahoo.ie
Niko tayari hata kama ni hospitali ya kulipia na hiyo email ni .ie si .com
Natanguliza shukurani.
 
Sehemu za siri kwa ndani. Ni hospitali gani na gani mmeenda?, kama hautapata pm au email usisite kusema kuna wengine wataacha kuchangia hapa wakidhani umepata pm au email
 
Yaah ni kweli kwamba ungalitaja ambazo umeshakwenda tayari
 

Jaribu Natural Therapy ipo opposite na Hindu Mandal wana dawa zao za asili za magonjwa tofautitofauti
 
pole kwa tatizo lililompata mzee wako.
PIA WAWEZA FIKA OFISI ZA TIENS ILI APIMWE NA KUPEWA TIBA. ZIPO MSASANI, TUWASILIANE KWA MAELEKEZO ZAIDI KUPITIA 0755569494
 
Agha khan kuna urologist mzuri pia. Jaribu kwenda., hauhitaji appointment. Halafu ukitumia id mpya ubadili na email unayotaka contact, some of.us dont forget easily. Kila la kheri, mgonjwa inshaallah atapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…