Mganga wa DIAMOND Ajitokeza

Mganga wa DIAMOND Ajitokeza

mchafue basi nyota yake kama unaweza! wewe kama umempaisha wale mapromota wake wamefanya kazi gani?tutokee hapa kigagu we!
 
Dini yake inamruhusu kusaidiwa na nguvu za giza kwani kazi anayoifanya ni ya Giza Pia
 
Vitabu vitakatifu vinataja uchawi.. Wewe ni nani upinge
 
mganga aweke doc,picha au kithibitisho

blah blah hizo
 
mganga aweke doc,picha au kithibitisho

blah blah hizo
Wanamuonea wivu simba,
Hata chale hawezi kukubali kuchanjwa
1482950328829.jpg
 
Back
Top Bottom