Mganga wa DIAMOND Ajitokeza

mchafue basi nyota yake kama unaweza! wewe kama umempaisha wale mapromota wake wamefanya kazi gani?tutokee hapa kigagu we!
 
Dini yake inamruhusu kusaidiwa na nguvu za giza kwani kazi anayoifanya ni ya Giza Pia
 
Vitabu vitakatifu vinataja uchawi.. Wewe ni nani upinge
 
Niliposoma na kuona gazeti la risasi sijaendelea tena kusoma
 
mganga aweke doc,picha au kithibitisho

blah blah hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…